my playlist


Monday, March 28, 2011

BEN PAUL AKIWA KASHIKILIA TUNZO ALIYOPATA

Msanii Ben Paul ndiye aliyekua msanii pekee aliyepewa tunzo ya wimbo bora wa rnb.wimbo huo unajulikana kwa jina ambalo ni nikikupata.so mshikaji kama alijua hivi kwamba endendapo akipata tunzo utakua ndo mpango mzima wa mafanikio kwake ndo maana akaimba nikikupata.

1 comment:

  1. Naipenda sana hii nyimbo, inanfundisha vitu vngi sana katika maisha. big up sana

    ReplyDelete