my playlist


Wednesday, March 30, 2011

ADAMU MCHOMVU(aka baba johniiiiii)

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
mshikaji kama kapata hasara hivi baada ya album aliyokua afanye na mexcana lacavera kufutika.mzigo alikua ameufanya pale dit fetality records.so pole sana brother pamoja nao mexcana

Tuesday, March 29, 2011

Yeeeh Man.guys karibu sana kwenye blog yenu ya kijanja zaidi.ndani ya hii blog utapata taarifa mbalimbali hila hasahasa zinazolenga kwenye buludani.ndani utaweza chart na funs mbalimbali na kubadilishana mawazo so karibuni sana milazo2 blog